Watu Wenye Furaha Zaidi Duniani Wana Sifa Hizi
Watu Imara Na Wenye Furaha Duniani Wana Sifa Hizi
1. Wanauthubuti WWatua Kuacha Vitu Visivyokuwa Na Mchango Kwenye Maisha Yao: Huwa Hawapotezi Muda Kuvumili Vitu Vinavyo Warudisha Nyuma.........
Huwa Hawanng'ang'anii Vitu Au Watu Wanao Waumiza, Ama Kuwapotezea Muda Na Kuwarudisha Nyuma Kwenye Kusudi Lao.........
Kwani Wanajua Thamani Ya Muda Watakao Upoteza Hakutakuwa Na Njiia Nyengine Ya Kuurudisha..........
2. Wanatafuta Mabadiliko: Hawapo Tayari Kila Siku Jua Linapo Chomoza Liwakute Katika Hali Kama Walio Nayo Jana..........
Wanatafuta Changamoto Mpya Kila Siku Ili Kujifunza Na Kupiga Hatua...........
Kwao Jana Ni Kama Historia Yenye Mafunzo Lakina Wanacho Angalia Ni Kesho Yao........
Hawapo Tayari Kuruhusi Jana Yao Iwanyime Fursa Ya Kusonga Mbele........
3. Wanafurahia Mafanikio Ya Wengine: Wanafurahia Mafanikio Ya Wengine Na Kuwafanya Walio Fanikiwa Kuwa Marafiki Zao Wa Karibu Ili Kujifunza Kutoka Kwao...............
4. Muda Wote Hubaki Na Furaha: Hawahangaiki Na Vitu Wasivyo Weza Kuvitawala, Kama Kuhusu Watu Wanaongea Nini Kuhusu Wao
Wakiona Vitu Vipo Nje Ya Uwezo Wao Wa Kuvitawala Huviacha Kama Vilivyo
Na Sio Kuhangaika Navyo........
