Ni Eneo Gani Ungependa Kupata Maarifa Zaidi?

Mahusiano.

Pata muongozo na ushauri kuhusu maisha ya mahusiano na ndoa na namna sahihi ya kuzikabili changamoto za mahusiano.

Afya Ya Akili

Pata msaada wa kisaikolojia kuhusu afya ya akili na mbinu mbali mbali za kuzikabili changamoto za afya ya akili.

Biashara

Tumia maarifa na mbinu mbalimbali za kisaikolojia katika kuvuta wateja kwenye biashara yako, kukuza mauzo na kuongeza kipato chako.

Kama Unataka Kumvuta Mwanamke Yeyote Unae Mtaka Fanya Haya

 

Insert a long beautiful story about your business and how it has started. Mwanaume Kama Unataka Kumpata Mwanamke Kirahisi Fanya Hivi

Hii Siri Niliipata Nikiwa Chuoni Mwaka Wa Pili Wakati Nasoma Course Moja Inaitwa Tabia Za Wanyama

Na Baada Ya Kuifanyia Uchunguzi Nikagundua Huwa Inafanya Kazi Kwa Wanyama Wote Hadi Binaadamu

Hili Siri Wengi Tumewahi Kuona Kwa Wanyama, Kama Ndege, Simba, Swala, Samaki Na Wengineo

Lakini Sina Uhakika Kama Ulishawahi Kuizingatia Na Kuifanyia Kazi

Lakini Leo Acha Nikusanue, Ili Uifanyie Kazi, Na Kisha Uje Unipe Majibu

Twende Pamoja Tukaichambue kiundani siri hii

Ukweli Ni Kwamba Ukiachana Na Binaadamu, ukiangalia wanyama wengine Mungu Amemuumba Mwanaume Kuwa Ni Mzuri Zaidi Kuliko Mwanamke???

Unabisha????

Kama Unabisha Angalia Mifano Hii Hapa Chini

Kwa Kuku, Jongoo Ni Mzuri Kuliko Tetea, Ana Mikia Mirefu Na Uso Wake Umepambwa Na Urembo Mwingi Sana unao vutia

Ukienda Kwa Tausi, Ukimuangalia Tausi Wa Kiume Ndio Mrembo Zaidi Na Anaurembo Mwingi Kuliko Wa Kike...........

Bado Unabisha Tu?????

Ukienda Kwa Simba, Simba Dume Ndio Mwenye Manyoya Ya Kuvutia Singoni Kuliko Simba Jike, Na Ukimuangalia Simba Jike Hata Havutii Sana kama ilivyo kwa simba dume

Nafikila Hadi Hapa Tutakuwa Tupo Pamoja Si Ndio????

Najua Utakuwa Unajiuliza Kwa Nini Nimetoa Mifano Hiyo?? Au Ni Kwa Nini Mwenyezi Mungu Amewaumba Wanyama Wa Kiume Kuwa Wazuri Zaidi Kuliko Wanawake?????

Basi Acha Nikupe Jibu Na Katika Jibu Ndio Ilipo Siri Kubwa Sana

Ukweli Ni Kwamba Mungu Ame Waumbe Hivyo Ili Wapate Kuwavutia Wanawake!!!!!!

Wanyama Na Ndege Wa Kiume Ili Kuwapata Wanawake Wanahitaji Kuwa Na Mvuto Utakao Wapendeza Wanawake kitu ambacho kitawafanya wavutike na wapagawe kwa muonekano huo

 

Je! Kwa Binaadamu Ikoje!!!!!!

Ipo Hivyo Hivyo Japo Najua Kuna Watu Watabisha!!!!!!

Kama Mwanaume Ili Upendwe Na Mwaname, Licha Ya Kumtongoza Mwanamke Lakini Kitu Ambacho Kitakufanya Akupende Haraka Sana Ni Hiki

Ni Wewe Kumvutia Kama Ilivyo Kwa Wanyama Wengine, Hata siku Moja Mungu Hadanganyi Kwenye Uumbaji Wake........

Una Mvutiaje Mwanamke

Fanya Vitu Ambavyo Yeye Anavihitaji, Au Kuwa Yule Mwanaume Wa Ndoto Yake Yule Ambae Anakaa Na Kumuota Kila Siku!!!! Hapo Tu Umemmaliza

 

Kama Utagundua Anapenda Mwanaume Mcheshi, Kuwa Mcheshi Mchekeshe, Hakikisha Unapokuwa nae Anaenjoy kweli Kupita Maelezo Na Utakapokuwa Mbali Nae Basi Akumiss!!!!! Amis vile Vitu Unavyo Mfanyiaga.

 

Kama Utagundua Ni Cha Kupenda Zawadi, Ukitoka Kwenye Mizunguko Yako, Mfanyie Surprise Ya Zawadi Huo Ndio Utakuwa Mtego Wa Kumvuta Kama Sumaku..........

 

Kama Utagundua Ni Cha Kupenda Kusifiwa, Fanya Hivyo Mara Kwa Mara!!!!!! Mzaje Bichwa Lake Hakikisha Anaiona Dunia Yote Kama Ni Yake, Hakuna Cha Kumzidi Wala Anaeweza Kufikia Levo Ya Uzuri Wake

 

Kama Utagundua Anapenda Sana Kupewa Muda Na Kusikilizwa, Hakikisha Unatenga Muda Kwa Ajili Yake, Hata Kama Atakuwa Anaonge Porojo Ambazo Hazieleweki Kaa Tenga Sikio Na Umsikilize, Mpe Muda Wa Kutosha Kaa Nae Na Kwa Muda Huo Acha Mambo Yako Yote 

 

Ikiwezekana Kwa Muda Huo Hata Simu Yako Hakikisha Umeizima Msikilize Yeye Tu Na Usiruhusu Chochote Kuingilia Mazungumzo Yenu............

 

Hatua Ya Kwanza Kabla Ya Yote, Soma Akili Yake, Tambua Anavutiwa Zaidi Na Mwanaume Wa Aina Gani Na Kisha Mvutie Kwa Vile Anavyo Anavutiwa Navyo Yeye Na Pengine Anavikosa Kwa Wanaume Wengi Wa Karibu Yake..............

Ukiweza Kutumia Mbinu Hii Vizuri Basi Utaweza Kuwavuta Hata Wale Wanawake Ambao Tayari Wapo Kwenye Mahusiano Na Kuwamuliki.