Saikolojia Muhimu Katika Mahusiano
SAIKOLOJIA MUHIMU KATIKA MAHUSIANO.
Ukitaka Mtu Akupende Zaidi Unapaswa Kutambua Hili
Ikiwa Ni Mwanamke Basi Itawafanya Wanaume Wakukimbize Sanaaa Kutafuta Nafasi Katika Penzi Lako........
Na Kama Ni Mwanaume Basi Wanawake Wengi Watakutamani Kuwa Nawe Na Ukigusa Tu Unachukua Chombo........
Kama Utakuwa Na Hizi Siraha Zote 3. Basi Utakuwa "Unstoppable" Kama Ni Mwanaume Utakuwa Kukamatiki........
Kama Ni Mwnamke Utaringa Na Kutembea Kama Twiga Mtaani Huku Ukiwaacha Wanaume Mtaani Midomo Wazi Na Madenda Yakiwachuruzika........
Ukweli Ni Kwamba Kisaikolojia Binaadamu Ameumwa Kupenda Zaidi Vitu Vya Aina Tatu........
1. Kinachopendwa Na Wengi
Binaadamu Ni Kiumbe Wa Kijamii Na Hufuata Zaidi Vitu Ambavyo Jamii Yake Inavikubali Zaidi, Kuliko Vile Visivyo Kubalika Na Jamii
Ukiangalia Suala La Nguo, Vyakula, Magari Na Vitu Vyote Vinavyo Tuzunguka....,...
Utakuta Vile Vitu Ambavyo Watu Wengi Kwenye Jamii Wanavikubali Basi Hata Wewe Pia Utakuwa Unavipenda.........
Hata Unapokwenda Dukani Kununua Kitu, Unaweza Ukakuta Bidhaa Za Kampuni Nyingi, Lakini Ni Ngumu Sana Kuchagua
Bidhaa Ambayo Hujamuona Mtu Akiwa Anaitumia Wala Hujasikia Watu Wakiwa Wanaisifia, Mfano Utanunua Bidhaa Za Bakhresa Kwasababu Watu Wengi Wanazipenda.......
Ndio Maana Hata Wafanya Biashara Wengi Kipindi Hiki Wanawatumia Watu Maarufu Kutangaza Biashara Zao, Ili Ww Ukiona Bidhaa Yao Inatumiwa Na Watu Maarufu Basi Uitamani........
Hii Hata Kwenye Mahusiano Iko Hivyo..........
Ukitaka Kupendwa Zaidi, Ukitaka Kupata Mwanamke Au Mwanaume Kirahisi........
Ukitaka Wanaume Wengi Wakupapatikie Au Wanawake Wengi Wakupapatikie
Basi Kuwa Mtu Wa Kupendwa Na Watu Wengi.........
Kama Mwanaume, Jichanganye Kuwa Mchangamfu, Kuwa Karibu Sana Na Watu, Cheka Na Kila Mtu Wafanye Watu Wafurahie Uwepo Wako Na Wakupende........
Wafanye Watu Wakuone Wewe Ni Mtu Bora Katika Jamii Yako.......
Nakuhakikishia Hutokosa Mpenzi, Suala La Kuwa Singo Utaliona Kwenye Magazeti Tu........
Na Hata Kwa Mwanamke Pia Kama Utakuwa Ni Mdada Wa Kupendwa Na Jamii Yako, Basi Hutotoka Kwenye Midomo Ya Watu........
Kule Kwetu Kijijini Unaweza Ukakuta Mama Mkwe Tayari Ameshamuambia Mwanawe Jinsi Ulivyo Bora......
Na Kumshauli Ww Ndio Mwanamke Bora Kijijini Anaepaswa Kumuoa......
Nakuhakikishia Hutochakaa Mtaani.........
Kiufupi Angalia Watu Wanaopendwa Zaidi Mtaani Kwako, Ni Watu Wa Aina Gani........
Kama Hayupo Kwenye Kundi Hili Basi Atakuwepo Kwenye Makundi Mawili Yanayokuja.